Kenya’s PSC plans 50,000 government internships from January 2027, using a 10% staffing formula as 41,000 graduates compete for 8,000 places amid high demand.
PSC Explains How Gov't Will Distribute 50,000 Internship Slots to Kenyan Graduates in January 2027

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
Jobs and CareerKEMRI announces internships in 49 categories, offers KSh 25k monthly
KEMRI is recruiting interns across nine Kenyan centres in 49 fields, offering stipends of up to KSh 25,000. Eligibility rules and 12 December deadline apply.
Jobs and CareerGulf Energy announces job vacancies in Turkana, Nairobi as Turkana oil project takes shape
Gulf Energy has opened 34 oil jobs across 21 categories in Kenya, with roles in Nairobi and Turkana for citizens only. Applications close 10 December 2026.
Jobs and CareerMamia kunufaika na mradi wa kiwanda cha Bamburi
KIWANDA kipya cha kuzalisha kemikali ya kuunda saruji kinachojengwa Matuga, Kaunti ya Kwale, kinatarajiwa kuongeza uwezo wa Bamburi Cement kuzalisha kemikali ya Clinker kutoka tani milioni moja hadi milioni 2.6 kwa mwaka. Mradi huo wa Sh250 milioni pia utaongeza uwezo wa kampuni hiyo kuzalisha saruji kutoka tani milioni 1.8 hadi milioni nne kila mwaka, hatua inayolenga kuimarisha sekta ya ujenzi nchini na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa bidhaa hiyo. Rais William Ruto aliweka jiwe la msingi la mradi huo, uliohudhuriwa na viongozi wa serikali, wawekezaji na viongozi wa eneo hilo. Miongoni mwa waliohudhuria ni Mawaziri Hassan Joho na Salim Mvurya, Mkurugenzi Mkuu wa Amsons Group Edha Nahdi, Gavana wa Kwale Fatuma Achani, Spika wa Seneti Amason Kingi na Mwenyekiti wa Bodi ya Bamburi Cement Dkt John Simba. Akizungumza katika hafla hiyo, Nahdi alisema uwekezaji huo unaonyesha dhamira ya muda mrefu ya Amsons Group katika kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha uzalishaji wa bidhaa nchini. Kwa upande wake, Dkt Simba alisisitiza umuhimu wa kuhakikisha jamii zinazoishi karibu na mradi zinanufaika na uwekezaji huo. Alitaja mpango wa kuhamisha wakazi wa Kijiji cha Mwachome, ambao ulihusisha pia mafunzo ya usimamizi wa fedha ili kuwasaidia wakazi walioathiriwa kutumia vizuri rasilimali walizopokea. Gavana Achani alitoa wito kwa wakazi wa Matuga na wafanyabiashara wa eneo hilo kushirikishwa kikamilifu katika utekelezaji wa mradi huo ili wanufaike na fursa za kiuchumi. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuunda zaidi ya nafasi 10,000 za ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja, hususan katika sekta za usafirishaji, uchimbaji wa mawe. Mkurugenzi Mkuu wa Wave 360 Africa, Zedd Mukoya, alisema mradi huo ni fursa kwa vijana wa Kwale kushiriki katika maendeleo ya viwanda katika kaunti yao. “Matumaini yangu ni kwamba siku moja kijana kutoka Kwale ataweza kuutazama kiwanda hicho na kusema, ‘Nilisaidia kukijenga na kimenipa mustakabali mzuri katika eneo langu,’” alisema Mukoya Kampuni ya W
Jobs and Career₦1.45trn Lagos ports upgrade targets 20,000 jobs
…As FG flags off Apapa, Tin Can modernisation By Efe Onodjae The Federal Government on Wednesday flagged off a £746 million (about ₦1.45 trillion) modernisation of Apapa and Tin Can Island ports in Lagos, targeting 48-hour cargo clearance and the creation of 20,000 direct and indirect jobs. The project is expected to reduce cargo delays, […]