Video
POLISI WAMNASA DEREVA AKIFUNDISHA RAFIKI YAKE KUENDESHA LORI BILA LESENI
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
#HABARI: Afisa Mnadhimu wa Polisi, kikosi cha usalama barabarani Tanzania ACP Desdery Rugimbana akiwa pamoja na Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Pwani, SSP Edison Mwakihaba na askari wa usalama barabarani wa mkoa wa Pwani, wamemkamata dereva akiwa anamfundisha rafiki yake kuendesha lori akiwa hana leseni ya udereva Dereva huyo amekamatwa leo Novemba 23, 2026 wakati wa utoaji wa elimu ya usalama barabarani na operesheni ya ukaguzi wa magari ili kuyabaini magari mabovu na ukaguzi wa leseni za madereva Katika eneo la mzani wa Msata mkoani Pwani. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : bit.ly/itvtanzania Facebook : bit.ly/2KeQNl3 Twitter : bit.ly/2XG7aii Instagram : bit.ly/34KItmg
Related stories
NewsKenneth Okonkwo tackles Tinubu over Aso Rock water outage
"If Tinubu could not give himself light and life, are you expecting him to give you what he doesn't have?" Okonkwo asked.
NewsTanzania promotes its areas for investment urges the diaspora to support the campaign
OSLO: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Mahmoud Kombo, has met Tanzanians living in Norway to hear their views and recommendations on how to improve their welfare both in Norway and back home in Tanzania. During the meeting, Dr Kombo also listened to challenges facing the diaspora that require government intervention…
News2027: APC’ll win three South-East states; Obi will take Abia, Anambra — Bwala
Bwala added that admitting potential weaknesses was more honest than claiming the APC would win everywhere, noting that his use of the word “struggle” referred specifically to the party’s chances of winning those states.
NewsAbure-led Labour Party faction backs Tinubu for 2027
By John Alechenu, Abuja A faction of the Labour Party (LP) led by Julius Abure has endorsed President Bola Tinubu for re-election in the 2027 general election, pledging to mobilise the six million votes the party claimed in the 2023 polls in support of the President. Abure announced the decision on Monday after a meeting […]