Ruto issues KSh195 million in bonuses to Nzoia sugarcane farmers, part of KSh1.2 billion for western sugar belt growers, as revival creates local jobs again.
Nzoia Farmers Benefit from Sugar Mill Revival, KSh 195m Bonus Payout

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
BusinessRipoti yafichua changamoto wakulima wa kike wanapitia katika miradi ya kilimo
WAKULIMA wanawake nchini wanazalisha mapato mengi kwa kila hekta kuliko wanaume, lakini wanashindwa kupata faida inayolingana kutokana na ukosefu wa mikopo nafuu na vifaa vya kisasa vya kilimo. Tathmini ya miaka tisa iliyofanywa na Farm to Market Alliance (FtMA), imeonyesha kuwa wanawake hupata wastani wa Sh82,494 kwa hekta wakati wa msimu mkuu wa kilimo, ikilinganishwa na Sh69,833 wanazopata wanaume. Hata hivyo, vituo vya huduma za wakulima vinavyoongozwa na wanawake hupata faida ya wastani wa Sh143,989 kwa mwaka, ikilinganishwa na Sh515,253 kwa vituo vinavyoongozwa na wanaume. Ripoti hiyo inasema tofauti hiyo inachangiwa na changamoto za kupata fedha na vifaa vinavyohitajika kupanua biashara za kilimo. Kwa wastani, vituo vinavyoongozwa na wanawake vina vifaa viwili pekee, ikilinganishwa na 3.2 katika vile vinavyoongozwa na wanaume. Hali hii inapunguza uwezo wao wa kutoa huduma za mashine, kushughulikia mazao mengi na kuyahifadhi baada ya mavuno. Mratibu wa FtMA nchini, George Njoroge, alisema matokeo hayo yanaonyesha kuwa wanawake na vijana wanaweza kupata mapato zaidi wakipata mbegu bora, mafunzo na masoko ya uhakika. Alisema ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wakulima hao kupanua shughuli zao. Ripoti hiyo pia ilibaini kuwa asilimia 70 ya vituo vya huduma za wakulima havina mikopo kutoka taasisi rasmi, licha ya asilimia 97 kuwa na akaunti za benki. Masharti ya mikopo yanayohitaji wakopaji kutoa ardhi kama dhamana yanatajwa kuwa kikwazo kikuu, na kulazimisha baadhi ya vituo kutegemea mikopo isiyo rasmi. Upungufu wa vifaa pia unasababisha hasara baada ya mavuno. Wanawake wanaweza kupoteza hadi nusu ya mavuno ya maharagwe kwa kuwa wanayakausha kwa mikono kwa kukosa mashine. Changamoto nyingine ni masoko. Ingawa asilimia 88.9 ya wakulima huuza mazao yao, ni asilimia 3.8 pekee walio na mikataba rasmi na wanunuzi. Mpango huo ulioanza 2017 umepanuka kutoka kaunti mbili hadi 13, na kuanzisha vituo 2,126 vilivyofikia wakulima 401,955. Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Mpa
BusinessVideo: ‘I’m going to be better CEO’ – Huang speaks after reinstatement as Nvidia boss
Employees of American technology giant Nvidia have given Chief Executive Officer Jensen Huang a rousing welcome as he returned to the company’s headquarters in Santa Clara, California, following his reinstatement.
BusinessTinubu seeks Reps’ approval for N65.17tn revised 2026 Budget
Under the revised fiscal framework, aggregate expenditure stands at N65.176tn, down from the N68.323tn approved in the original budget, while projected federal revenue, including receipts from government-owned enterprises, is put at N33.720tn.
BusinessNigeria can’t borrow its way out of economic crisis – Duke
The presidential candidate of Peoples Redemption Party, PRP, Donald Duke, has warned that Nigeria cannot borrow its way out of its economic crisis, urging the federal government to shift from debt-driven spending to policies capable of expanding production, creating wealth and strengthening the country’s revenue base. Duke, who was former governor of Cross River State, […]