Video
NAKUPENDA Ep 16- V1
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
🎬 NAKUPENDA Ep 16- V1 Karibu kutazama kipindi cha 16 cha tamthilia ya kusisimua ya NAKUPENDA! Mambo yanazidi kuwa magumu baada ya polisi kufika na tuhuma nzito za wizi. Je, Albert na James watahusika vipi, na ukweli kuhusu vitu vilivyopotea utajulikana au kuna mtu anategwa? Usikose kufuatilia mkasa huu mwanzo hadi mwisho ujionee mambo yanavyozidi kupamba moto. #NakupendaSeries #TamthiliaYaKiswahili #GlobalTVOnline #NakupendaSeries #NakupendaEp15 #TamthiliaYaKiswahili #BongoDrama #SwahiliSeries #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralGovt directs all NGOs to transition to Public Benefit Organisations framework, sets deadline
The government required NGOs registered under the repealed Act to transition to the PBO framework by May 14, 2027, through eCitizen, without re-registering online.
GeneralAjaokuta must work again, Kogi won’t be neglected – Atiku
Former Vice President Atiku Abubakar has pledged to revive the Ajaokuta Steel Mill, develop Idah River Port and complete the Kabba-Egbe road, promising to address longstanding infrastructure challenges across Kogi State.
GeneralTrouble rocks Air Zimbabwe’s London Gatwick route
The disruption comes at an awkward moment for the Zimbabwean national carrier, which had just announced plans last week to expand the Harare–London corridor from three to four weekly frequencies,
GeneralNAKUPENDA Ep 15- V1
🎬 NAKUPENDA Ep 15- V1 Tazama sehemu ya 15 ya tamthilia yetu ya kusisimua ya NAKUPENDA. Mambo yanazidi kuwa magumu na hisia zinapanda pale ambapo siri mpya zinafichuka na uhusiano unajaribiwa. Je…