Video
MVUA KUBWA YALETA MAAFA USHETU - "HATUNA PA KULALA, CHAKULA KIMETEKETEA" - MBUNGE AFUNGUKA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MVUA KUBWA YALETA MAAFA USHETU - "HATUNA PA KULALA, CHAKULA KIMETEKETEA" - MBUNGE AFUNGUKA Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeleta maafa makubwa katika Jimbo la Ushetu baada ya kubomoa nyumba, kuezua mabati na kuharibu chakula cha wananchi, hali iliyowaacha wakazi bila makazi wala chakula cha kujikimu. Wananchi walioathiriwa wameiomba serikali na wadau kuwasaidia kwa dharura, ikiwemo mahema ya kujikinga na mvua inayoendelea. Mbunge wa eneo hilo ametembelea kaya zilizoathirika na kutoa msaada wa awali wa mbao na mabati ili kuwawezesha kujisitiri kwa muda, huku akiwasihi wananchi kuachana na nyumba dhaifu zisizohimili majanga na kuanza kujenga nyumba imara za kudumu. #MvuaUshetu #MaafaUshetu #HabariZaHiviPunde #GlobalTVOnline #MvuaUshetu #MaafaTanzania #GlobalTVOnline #HabariLeo #Ushetu ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralMusawa mourns Pete Edochie, hails cultural legacy
The Minister of Art, Culture, Tourism and the Creative Economy, Hannatu Musa Musawa, has expressed grief over the death of veteran actor and broadcaster, Chief Pete Edochie, describing him as a national treasure and an outstanding custodian of Nigerian culture. Edochie reportedly died in the early hours of Wednesday, November 25, 2026, in Enugu, at […]
Continental education report puts South Africa’s Grade 9 certificate to the test
A major Mastercard Foundation report highlights the urgent need to expand vocational pathways across Africa, putting South Africa's planned 2027 rollout of the Grade 9 General Education Certificate under the spotlight amid severe youth unemployment.
General
GeneralNakuru woman dies hours after welcoming unknown man into her home
CCTV shows Madina Halakhe arriving at her Nakuru apartment with an unidentified man, who left alone an hour later. Her family seeks answers after her death.