RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema aligundua tu hivi majuzi kwamba aliyekuwa Mbunge wa Lugari, Cyrus Jirongo, alifariki katika ajali ya barabarani Disemba 13, 2025.
Museveni alisema Jirongo ndiye aliyemjulisha mnamo 2019 kuhusu Uganda kununua mafuta kutoka Kenya kupitia madalali waliotoza bei ya juu, hali iliyosababisha serikali kupoteza mamilioni ya shilingi.
Taarifa hiyo ilimfanya Museveni kumwagiza aliyekuwa Waziri wa Nishati Irene Muloni kuchunguza suala hilo.
Siku tano baada ya kumtaja Jirongo na kumwita 'Seneta' ingawa mwanasiasa huyo hakuwahi kuhudumu kama seneta, Museveni alisema hakujua kuwa mwanasiasa huyo alikuwa amefariki.
Alimsifu Jirongo kama kiongozi mzuri na mzalendo aliyeitumikia Kenya kwa kujitolea.
“Tutamkosa,” Museveni alisema, akitoa rambirambi kwa familia, marafiki na wananchi wa Kenya.
Museveni: Sikujua Jirongo aliaga dunia, tutamkosa, na apumzike kwa amani

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsAfenifere demands prosecution of sponsors of campaign violence
…Raises alarm over rising attacks ahead of 2027 elections By Adeola Badru The pan-Yoruba socio-political organisation, Afenifere, has raised the alarm over increasing political violence ahead of the 2027 general elections, calling for the arrest and prosecution of perpetrators and their sponsors. The organisation warned that the growing incidents of thuggery, intimidation and inflammatory political […]
NewsPHOTOS: First Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsFirst Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsObi woos Onitsha voters, promises jobs, better services
…Says Nigeria needs energetic president By Vincent Ujumadu The presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, on Friday drew a large crowd in Onitsha, Anambra State, as he led members of his campaign team on a roadshow and town hall meeting in the commercial city. Obi began his visit with a stop […]