Miguna Miguna blocked Edwin Sifuna on X after attacking his 2027 presidential bid and alleging Uhuru Kenyatta pledged KSh 300 million for his campaign funding.
Miguna Miguna blocks Edwin Sifuna after criticising his presidential bid for weeks: "Going nowhere"

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
News
NewsMakosa ya Rais Uhuru yaliyojengea Ruto jina Mlimani kura iliyopita
KWA miaka mingi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta alikuwa na ushawishi mkubwa katika eneo la Mlima Kenya. Lakini katika uchaguzi wa 2022 alishuhudia wafuasi wake wengi wwa Mlimani wakipuuza chaguo lake la urithi wa kisiasa, Raila Odinga, wakamuunga mkono aliyekuwa naibu wake, William Ruto. Sasa, Seneta wa Murang’a Joe Nyutu anasema uamuzi huo haukutokana tu na umaarufu wa Ruto, bali pia makosa ya kisiasa aliyofanya Uhuru katika muhula wake wa pili. Makosa hayo ndiyo yaliumba nafasi kwa naibu wake kujijenga kisiasa neo hilo. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio Jumanne, Nyutu alisema Uhuru alishindwa kudumisha uhusiano wa karibu na viongozi waliochaguliwa Mlima Kenya, na hivyo kumpa Ruto fursa ya kujenga mtandao wake. “Rais Uhuru Muigai Kenyatta hakuwahi kuwapa viongozi waliochaguliwa Mlima Kenya nafasi ya kukutana naye katika muhula wake wa pili. Unaweza kuthibitisha hilo. Miaka yote mitano,” alisema Nyutu. Alidai kuwa hata viongozi walipokutana na Uhuru mara nyingi waliondoka wamekerwa na jinsi aliwahudumia.Ruto akatambua pengo hilo na kulitumia kuimarisha uhusiano wake na viongozi na wakazi wa eneo hilo. “Rais Ruto, ambaye wakati huo alikuwa naibu rais, alitambua kulikuwa na pengo. Viongozi wa Mlima Kenya hawakuwa wakipata nafasi ya kuzungumza na rais (uhuru). Aliona pengo, akalijaza. Aliwakumbatia viongozi hao na alikuwa akipatikana,” akaeleza. Kauli za Nyutu zinagusia mojawapo ya masuala yaliyotikisa Jubilee katika muhula wa pili wa Uhuru: uhusiano uliokuwa ukizorota kati yake na naibu wake, na mgawanyiko chamani. Dalili za kutoridhika zilionekana hata kabla ya uchaguzi wa 2022. Mnamo Januari 2021 baadhi ya wabunge wa Mlimani waliandika barua kwa Uhuru wakilalamikia kutopata mwaliko wa mkutano wa Sagana na kukosa nafasi ya kuwasilisha matatizo ya wakazi. Walilalamikia kile walichosema ni kutofikiwa kwa rais na kutokuwepo kwa utekelezaji wa masuala yaliyojadiliwa katika mikutano ya awali. Hali hiyo ilimpa Ruto nafasi ya kuendeleza ziara zake Mlimani ikiwemo
NewsBusia: William Ruto launches same road twice in 9 days, raises concerns
President William Ruto launched the Butula-Nambale-Amukura road twice in nine days, adding seven kilometres to the KSh 3.3 billion project, sparking concerns.
NewsODM yaanza kujipenyeza ngome ya UDA
CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kinatanua ushawishi wake katika Bonde la Ufa, eneo ambalo kwa muda mrefu limekuwa ngome ya kisiasa ya Rais William Ruto na chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA). Kuvutiwa kwa wanasiasa wanaotaka kuwania nyadhifa mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa 2027 nkupitia tiketi ya ODM kunaashiria mabadiliko katika hesabu za kisiasa katika eneo hilo. Hali hii inajiri huku UDA na ODM zikiwa zimeingia katika ushirikiano wa kisiasa unaolenga kumuunga mkono Rais Ruto kuwania muhula wa pili kupitia serikali jumuishi. Hata hivyo, Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga amesisitiza kuwa ushirikiano huo hautamaanisha chama chake kukabidhi ngome zake za kisiasa kwa UDA. “Makubaliano ya kisiasa na UDA ni kuhakikisha Rais Ruto anachaguliwa tena na hayatahusisha kukabidhi maeneo ambayo ni ngome za ODM,” alisema Wanga wakati viongozi wa chama hicho walipotembelea Bonde la Ufa hivi majuzi. Miongoni mwa wanasiasa walioamua kujiunga na ODM ni aliyekuwa Seneta wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio, ambaye alihama chama cha Kanu pamoja na baadhi ya viongozi wa eneo hilo wakiwemo madiwani. “Nimeondoka rasmi Kanu na kujiunga na ODM. Nitaelekeza nguvu na rasilimali zangu katika kukieneza chama hiki,” alisema Poghisio. Hatua hiyo inatarajiwa kuzidisha ushindani wa kisiasa Pokot Magharibi, ambako Poghisio ana nia ya kuwania ugavana dhidi ya wapinzani wake wa muda mrefu. Kwa ODM, kuhama kwa Poghisio ni ushindi mkubwa katika juhudi za kupanua ushawishi wake katika eneo ambako Kanu na UDA zimekuwa na wafuasi wengi. Naibu kiongozi wa ODM, ambaye pia ni Gavana wa Kisii, Simba Arati alisema chama hicho kinaandaa mikutano mikubwa ya kisiasa Pokot Magharibi na maeneo mengine nchini kuelekea uchaguzi wa 2027. Alisema ODM itaendelea kumuunga mkono Rais Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena, huku ikijenga nguvu zake za kisiasa. Arati pia alidai kuwa wabunge 11 walio mamlakani kutoka vyama vingine wanatarajiwa kujiunga na ODM. “Chama chetu bado kina nguvu na tutapig