MASHAMBULIZI mapya ya majangili kwenye mpaka wa Turkana-Pokot Magharibi yanatishia mipango ya kurejeshwa kwa biashara ya kuuza petroli katika kituo cha South Lokichar Basin huku viongozi wakionya kuwa operesheni za mafuta hazitaruhusiwa kuendelea pasipo usalama.
Viongozi kutoka Turkana Kusini na Mashariki wameitaka serikali kurejesha usalama, mifugo walioibiwa, kutambulisha na kuwakamata waliohusika na mashambulizi hayo.
Wameonya kuwa watashinikiza oparesheni za petroli kusimamishwa ikiwa hali haitadhibitiwa.
Wanasema visa vya mauaji, mashambulizi na wizi wa mifugo haviwezi kupuuzwa wakirejelea uvamizi wa majuzi katika kijiji cha Lokwar, eneo la Aroo, mapema Septemba 2, 2026, ambapo watu watatu waliuawa, mmoja akajeruhiwa na mifugo kuibiwa.
“Shughuli zote za Gulf Energy katika maeneo yaliyoathirika ni sharti zisimamishwe hadi hali ya kawaida irejee na usalama kuimarishwa.”
Mashambulizi mapya ya ujangili yazuka Turkana, Pokot Magharibi

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsAfenifere demands prosecution of sponsors of campaign violence
…Raises alarm over rising attacks ahead of 2027 elections By Adeola Badru The pan-Yoruba socio-political organisation, Afenifere, has raised the alarm over increasing political violence ahead of the 2027 general elections, calling for the arrest and prosecution of perpetrators and their sponsors. The organisation warned that the growing incidents of thuggery, intimidation and inflammatory political […]
NewsPHOTOS: First Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsFirst Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsObi woos Onitsha voters, promises jobs, better services
…Says Nigeria needs energetic president By Vincent Ujumadu The presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, on Friday drew a large crowd in Onitsha, Anambra State, as he led members of his campaign team on a roadshow and town hall meeting in the commercial city. Obi began his visit with a stop […]