MAMLAKA inayosimamia Biashara Ndogo-ndogo (MSEA), imeanzisha rasmi mpango wa kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara kuhusu masuala ya kuboresha biashara zao ili kuwawezesha kuinuka kiuchumi.
Mradi huo wa Kenya Jobs and Economic Transformation (KJET) unalenga makundi 94 ya biashara nchini.
Mafunzo hayo ya awamu ya kwanza yalianza Novemba 10, 2025, na yanaendeshwa katika kaunti 10 kabla ya kufikia kaunti zote 47 katika kipindi cha wiki tano zijazo.
Mafunzo hayo yanalenga kuboresha uzalishaji na ukuaji katika sekta ya MSMEs).
Kupitia mitaala ya moduli 12, wahusika wataweza kujenga ujuzi wao wa kutenda kazi utakaowasaidia kuongeza tija, kuimarisha ushindani na kufikia masoko mapya.
Mafunzo hayo yanajumuisha mazoezi, mifano halisi na kazi za makundi zinazoongozwa na wakufunzi waliobobea.
[caption id="attachment_181515" align="alignnone" width="1600"] Kijana akisikiza kwa makini mafunzo kuhusu biashara yanayoendesha na Mamlaka inayosimamia Biashara Ndogo-ndogo (MSEA). Picha|Evan Habil.[/caption]
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo Nairobi, Mkurugenzi Mkuu wa MSEA, Bw Henry Rithaa, alisema mradi huo unalenga kuoresha MSMEs ili iwe injini ya ubunifu, ajira na ukuaji shirikishi wa kiuchumi.
Baada ya mafunzo, makundi hayo yataendelea na awamu ya pili itakayojumuisha mafunzo ya miezi mitatu na ushauri wa karibu kutoka kwa wataalamu ili kusaidia utekelezaji wa mafunzo.
Makundi mbalimbali kupokea mafunzo ya kuyasaidia kuboresha biashara zao
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
BusinessAnthropic sets IPO price at $83 per share, targets $1.5trn valuation
–Claude maker raises $81.3bn in world’s largest IPO, overtakes SpaceX as investors rush for AI, despite $104bn lossBy Vera Anyagafu, with agency report The artificial intelligence race just produced the biggest stock market debut in history. Anthropic, the United States artificial intelligence company behind the Claude chatbot, on Wednesday priced its initial public offering at […]
BusinessOyedele urges banks to prioritise agricultural lending
…Commissions Moniepoint Abuja branch By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Minister of Finance and Coordinating Minister of the Economy, Taiwo Oyedele, has urged banks and other financial institutions to make loans more affordable and accessible to businesses, particularly those operating in the agricultural sector, to stimulate productivity and economic growth. Oyedele made the call […]
BusinessNasarawa attracts $2.3bn investments in seven years — Abdullahi
Records 21 reforms, 11 PPP projects worth ₦93bn By John Alechenu ABUJA — Nasarawa State has attracted more than $2.3 billion in investments over the past seven years following reforms and institutional development aimed at making the state more competitive and investor-friendly. The Managing Director and Chief Executive Officer of the Nasarawa Investment and Development […]
BusinessObi pledges massive investment in education, healthcare
By Chimaobi Nwaiwu NNEWI — Presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, has pledged massive investment in education and healthcare, improved electricity supply and an end to kidnapping if elected president in 2027. Obi, who made the pledge on Friday during a visit to Onitsha, Anambra State, also said his proposed administration, […]