MAHAKAMA Kuu imekataa ombi la dhamana la wanafunzi wanane wa Utumishi Girls Academy wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya wenzao 16 katika mkasa wa moto uliotokea shuleni Mei 28, 2026.
Jaji Diana Kavedza-Mochache alisema kuwa kuwaachilia kwa sasa kunaweza kuhatarisha usalama wao, mashahidi na watu wengine wanaohusika katika kesi hiyo, pamoja na kuathiri mwenendo wa kesi.
Mahakama ilisema ripoti zinaonyesha baadhi ya wanafunzi hao wamekumbwa na vitisho vya kushambuliwa wakiwa kizuizini, huku wengine wakinyanyaswa mtandaoni.
Jaji alisema watoto wanaokabiliwa na sheria bado wana haki za kulindwa, licha ya uzito wa mashtaka. Aliagiza wapokezwe usaidizi wa kisaikolojia na ushauri nasaha.
Mahakama yakataa kuachilia wanafunzi 8 wa Utumishi Girls

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsAfenifere demands prosecution of sponsors of campaign violence
…Raises alarm over rising attacks ahead of 2027 elections By Adeola Badru The pan-Yoruba socio-political organisation, Afenifere, has raised the alarm over increasing political violence ahead of the 2027 general elections, calling for the arrest and prosecution of perpetrators and their sponsors. The organisation warned that the growing incidents of thuggery, intimidation and inflammatory political […]
NewsPHOTOS: First Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsFirst Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsObi woos Onitsha voters, promises jobs, better services
…Says Nigeria needs energetic president By Vincent Ujumadu The presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, on Friday drew a large crowd in Onitsha, Anambra State, as he led members of his campaign team on a roadshow and town hall meeting in the commercial city. Obi began his visit with a stop […]