Kisii aspirant Kevin Nyamari faces backlash for distributing branded underwear to women. He addressed the concerns, adding that the demand has surged.
Kisii politician gives women branded underwear to promote governor bid, addresses public outrage

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
News
NewsHesabu ngumu kwa Babu ugavana wa jiji
MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino sasa amejipata katika hali ngumu ya kutimiza azma yake ya kuwa gavana kutokana na cheche kali kati yake na Kiongozi wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna. Bw Owino ana kibarua kigumu katika siasa za jijini huku mikakati ikiendelea kusukwa pia na mrengo wa DCP ambao Kinara wake Rigathi Gachagua alitangaza kuwa gavana mpya wa jiji atatoka chama hicho. Wiki hii, Bw Sifuna alimkabili vikali Bw Owino kuhusu uongozi wa chama cha Linda Mwananchi (LMM) akikanusha kuwa hakumsaliti mbunge huyo katika mpangilio wa uongozi ambao wawili hao walikuwa nao. “Katika vyama vyote vilivyoko nchini, nitajie chama kimoja ambacho mgombeaji urais si kiongozi wake,” akauliza Bw Sifuna. “Mlipokuwa mkibishana kuhusu nani awe kiongozi wa chama, niliwauliza, mnawezaje kuniamini niwe rais wa nchi lakini msiniamini kuwa kiongozi wa chama? Sasa msaliti ni nani?” Alikuwa akikanusha matamshi ya Bw Owino kuwa walikubaliana kuwa Bw Sifuna angekuwa mgombeaji wa urais huku naye mbunge huyo akiongoza chama ambacho wangekiunda. Kwa sasa Bw Owino yuko katika chama cha Mwananchi (TMP) ambacho alikichukua kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Makueni Profesa Kivutha Kibwana. Kando na kutangaza kuwa atawania ugavana kupitia chama hicho, Bw Owino pia anapanga kuwasilisha wagombeaji wa udiwani kupitia chama hicho si Nairobi pekee bali kote nchini. Ingawa hivyo, tangu 2013 walioshinda ugavana wamekuwa wakitoka kwenye vyama vikubwa. Mnamo 2013, Evans Kidero alishinda kupitia ODM, Mike Sonko kupitia Jubilee mnamo 2017 kisha mnamo 2022 Gavana wa sasa Johnson Sakaja akawahi kupitia chama cha UDA. Je, Bw Owino ataweza kupitia TMP ambacho si kati ya vyama vikubwa nchini? Upinzani ukiafikiana kuwasilisha mgombeaji mmoja wa urais 2027, kiti cha ugavana wa Nairobi kinaweza kujumuishwa katika makubaliano hayo. Iwapo Bw Sifuna atapeperusha bendera ya upinzani, itakuwa vigumu sana kwa ugavana kusalia katika mrengo wake wa Linda Mwananchi. Licha ya kuwa wako vyama tofauti sasa, Bw Owino amekuwa aki
NewsRAIS SAMIA ASHTUA MARAIS WA AFRIKA! - ATOA TAKWIMU MPYA ZA VIFO VYA WAZAZI TANZANIA...
RAIS SAMIA ASHTUA MARAIS WA AFRIKA! - ATOA TAKWIMU MPYA ZA VIFO VYA WAZAZI TANZANIA... HOTUBA YA RAIS SAMIA: Azindua Mpango Kabambe wa Afya ya Mama na Mtoto Afrika (AU Summit Addis Ababa)
NewsDavid Kihuna: Last phone signal traced to Punisher Gorge as search for missing hiker enters day 8
David Kihuna's last phone signal has been traced to Punisher Gorge as rescuers continue searching the tough Aberdares terrain for the missing hiker on Day 8.