Video
"KAZI MMEIONA HAMJAIONA?" - RAIS SAMIA ATUA KILIMANJARO - APIGA TENA SELFIE KWA KUTUMIA SIMU YAKE...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"KAZI MMEIONA HAMJAIONA?" - RAIS SAMIA ATUA KILIMANJARO - APIGA TENA SELFIE KWA KUTUMIA SIMU YAKE... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro akiwa njiani kuelekea kufungua mkutano wa Makamanda wa Polisi. Katika hotuba yake kwa wananchi, Rais Samia amezungumzia masuala muhimu ikiwemo amani na usalama wa nchi, maandalizi ya matukio makubwa ya kimataifa kama AFCON, ujenzi wa soko la kimataifa wilayani humo, usafi wa mazingira, pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama. #RaisSamia #Kilimanjaro #GlobalTVOnline #SamiaSuluhuHassan #Tanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
News2027: Obi urges Nigerians to defend their votes
By Nwabueze Okonkwo ONITSHA — Presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, has urged Nigerians to turn out en masse for the January 16, 2027 presidential election and defend their votes against electoral manipulation. Obi made the call on Friday at the NDC town hall meeting and presidential campaign rally held at […]
News2027: Court sacks ADC governorship candidate in Adamawa
The Federal High Court in Abuja on Friday ordered the removal of Tukur Ribadu as the 2027 Adamawa governorship candidate of the African Democratic Congress (ADC).
NewsVandalism, illegal connections threaten Kano water supply
Over 45 pipeline repairs completed, says commissioner By Hadiza Yusuf KANO — The Kano State Government has warned residents against vandalism, illegal connections and other activities capable of damaging public water infrastructure and disrupting the supply of drinking water across the state. The Commissioner for Water Resources, Dr Dahiru Muhammad Hashim, gave the warning at […]
NewsTinubu Must Stay group set to unveil presidential library, reform observatory
By Omeiza Ajayi ABUJA: The Tinubu Movement for Sustainable Governance Foundation TMS, popularly known as Tinubu Must Stay, has announced plans to establish a National Reform Documentation and Impact Observatory, a public digital policy archive and a possible future presidential library for President Bola Tinubu. Chairman of the Board of Trustees and National Coordinator of […]