Video
KATAMBI MBELE YA SAMIA: "SINA HATA KITAMBI UMENIPA DUBWASHA HILI" - AWALIPUA WANAOPOTOSHA MIMBARINI
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
KATAMBI MBELE YA SAMIA: "SINA HATA KITAMBI UMENIPA DUBWASHA HILI" - AWALIPUA WANAOPOTOSHA MIMBARINI Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza maboresho makubwa yaliyofanyika katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikiwemo Jeshi la Polisi, Idara ya Uhamiaji, na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katambi amebainisha uwekezaji mkubwa wa mitambo ya kisasa ya udhibiti mipakani na viwanja vya ndege, makazi bora ya maofisa wa polisi, pamoja na ununuzi wa magari zaidi ya 150 na helikopta za uokoaji. Usikose kufuatilia hotuba hii na ujumbe wake mkali kwa wale wanaopotosha jamii. Tufuatilie Global TV Online kwa habari na matukio ya kitaifa: SUBSCRIBE: youtube.com/user/uwazi1 #SamiaSuluhuHassan #PatrobasKatambi #GlobalTVOnline #HabariZaTanzania #JeshiLaPolisi ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
General
General"MKE WANGU ESMA AMENIZIDI UMRI, HAKUNIKUTA MASIKINI, NAJIWEZA" - JEMBE (MUME WA ESMA)
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍…
GeneralBoT to regulate microfinance providers in Zanzibar
The Bank of Tanzania (BoT) has assumed responsibility for licensing and supervising non-deposit-taking microfinance service providers in Zanzibar, requiring existing operators to apply for licences by December 31, 2026.
GeneralPROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO
PROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO #globaltv #breaking