Video
JKT Tanzania yajipanga kuchukua alama kwa Mnyama.
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
JKT TANZANIA vs SIMBA SC: “Kesho tutakuwa na wakati mzuri uwanjani...” Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi chake kimejiandaa vizuri kiakili na kisaikolojia kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Simba SC. Ahmad amesema Simba SC ni timu kubwa, si tu ndani ya Tanzania bali pia katika soka la Afrika, hivyo mchezo huo utakuwa fursa nyingine kwa kikosi chake kujifunza na kupima uwezo wake. Kwa upande wake mchezaji wa timu hiyo, Jafar Maneno amesema wachezaji wamejiandaa kupambana kwa nguvu zote ili kupata alama tatu, na iwapo hilo halitawezekana basi watahakikisha wanaondoka na angalau alama moja. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #JKTTanzania #SimbaSC #JKTTanzaniaSimbaSC
Related stories
General
General"MKE WANGU ESMA AMENIZIDI UMRI, HAKUNIKUTA MASIKINI, NAJIWEZA" - JEMBE (MUME WA ESMA)
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍…
GeneralBoT to regulate microfinance providers in Zanzibar
The Bank of Tanzania (BoT) has assumed responsibility for licensing and supervising non-deposit-taking microfinance service providers in Zanzibar, requiring existing operators to apply for licences by December 31, 2026.
GeneralPROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO
PROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO #globaltv #breaking