Video
HUZUNI MKE ASIMULIA MUME WAKE KUMPA SUMU MTOTO NA KISHA KUJINYONGA PEMBA
Channel: Millard Ayo Watch on YouTube
About this video
Tukio la kusikitisha limetokea katika kijiji cha Wesha Kichuwani, Mkoa wa Kusini Pemba, ambapo mwanaume aliyejulikana kwa jina la Ali Yussuf Abdallah, mwenye umri unaokadiriwa wa miaka 45, amemuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumnywesha sumu, kabla ya yeye mwenyewe kujinyonga hadi kufariki dunia. Tukio hilo limeacha simanzi na mshtuko kwa wakazi wa kijiji hicho, ambao wameeleza kushangazwa na tukio hilo kutokana na maisha waliyokuwa wakiishi na marehemu kabla ya tukio hilo. Akizungumza kwa majonzi kufuatia msiba huo, mke wa marehemu Maryam Ali Khalfan amesema amepokea taarifa hizo kwa mshtuko mkubwa, huku akithibitisha kuwa hawakuwa na migogoro yoyote ambayo angeweza kuhusisha na hatua hiyo iliyochukuliwa na mumewe.
Related stories
GeneralI married a janitor to spite my wealthy father — His reaction shocked me
Anna marries a janitor to escape her father's control, but their unexpected love uncovers a family secret and forces her father to confront his past with remorse.
GeneralNELFUND considers increase in ₦20,000 student upkeep
…Sawyer says allowance under review, hints at possible changes By Joseph Erunke, Abuja The Nigerian Education Loan Fund (NELFUND) is considering an increase in its ₦20,000 monthly upkeep allowance for students amid concerns that rising living costs have reduced its purchasing power. The Managing Director of NELFUND, Akintunde Sawyer, disclosed this during an interview on […]
GeneralI raised my late girlfriend’s daughter for 10 years — Now she wants her real dad
After adopting his late girlfriend’s daughter, a dad faces her biological father’s Thanksgiving threats and fights to protect their own family—and his shoe shop.
GeneralGumi calls for removal of Emirs guilty of immoral conduct
Islamic cleric, Sheikh Ahmad Gumi, has called for the immediate removal of any Emir found guilty of immoral conduct, saying such action is necessary to protect the integrity and credibility of traditional institutions. Gumi made the call in a Facebook post on Sunday, stressing that traditional rulers must uphold high standards of conduct befitting the […]