VideoLive
"HATA MAKABURI HATUJUI KUYAPANGA, VURUGU TU!" - WAZIRI WA ARDHI AKASIRISHWA NA MIJI HOLELA...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"HATA MAKABURI HATUJUI KUYAPANGA, VURUGU TU!" - WAZIRI WA ARDHI AKASIRISHWA NA MIJI HOLELA... "Hata makaburi hatujui kuyapanga, vurugu tu!" – Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa kauli nzito na ya kushtua akielezea namna makazi holela yalivyotapakaa nchini, akilinganisha mandhari ya Jiji la Dar es Salaam na "mtu aliyeangusha vitumbua". Katika hotuba yake kwa wadau wa sekta ya ardhi na milki, Waziri amesisitiza umuhimu wa kufuata sheria, kusitisha ujenzi wa makazi holela, pamoja na mpango wa Serikali kupeleka mswada bungeni wa kuanzisha Mamlaka ya Kusimamia Sekta ya Milki (Real Estate Authority) nchini ili kujenga miji endelevu kuelekea Dira ya 2050. #GlobalTVOnline #WaziriWaArdhi #MakaziHolela #DarEsSalaam #HabariZaLeo #TanzaniaNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
NewsTinubu’s endorsement no guarantee of victory, Lagos APC tells opposition
By Olasunkanmi Akoni The Lagos State chapter of the All Progressives Congress (APC) has cautioned against interpreting President Bola Tinubu’s endorsement of the party’s governorship candidates in Lagos, Ogun and Oyo states as an automatic guarantee of victory in the 2027 elections, describing it instead as a significant expression of political confidence. The party, however, […]
NewsWin for Rigathi Gachagua as former Kiambu governor defects from Jubilee to DCP Party
Former Kiambu governor James Nyoro ditched Jubilee for former DP Rigathi Gachagua’s DCP. He will be contesting the Kiambu gubernatorial seat in the 2027 polls.
NewsJensen Huang reinstated as NVIDIA chief executive
NVIDIA, an American technology company, has returned its co-founder, Jensen Huang, to the positions of President and Chief Executive Officer after its board unanimously approved th...
NewsMPs seek solutions for air pollution, mining pits
Members of Parliament have questioned how a proposed environment and climate change law will address air pollution, abandoned mining sites and delays in issuing regulations neede...