Rigathi Gachagua challenged Jeff Koinange live on TV over Aden Duale’s hyena remarks, reviving a row over whether the Health CS should apologise to Kikuyu.
Gachagua Puts Jeff Koinange on the Spot for Tolerating Ruto’s CS: “You Must Submit to Me”

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
NewsPolice deploy 2,500 officers for Adeleke’s 2nd term inauguration
The Police Command in Osun has deployed 2,500 personnel for the second term inauguration of Gov. Ademola Adeleke and his deputy, Prince Kola Adewusi, in Osogbo.
News2027: 2Baba backs ‘rig and die’ slogan, demands severe penalties
Nigerian music star, Innocent Idibia, popularly known as 2Baba, has backed the controversial “rig and die” slogan associated with the Nigeria Democratic Congress (NDC), saying anyone caught manipulating election results in 2027 should face severe punishment. The singer, however, cautioned against innocent people being victimised in the process, insisting that elections should not be treated […]
NewsStakeholders: Ending GBV key to achieving Vision 2050
DODOMA: The government is actively combating gender-based violence (GBV), as meaningful economic development under the National Development Vision 2050 (Dira 2050) is impossible without equal opportunity, access to justice, good governance, peace, and security. During the launch of the 16 Days of Activism Against Gender-Based Violence Campaign in Dodoma recently, , Deputy Minister for Constitutional…
NewsObado ataangushiwa hukumu ipi? Wazazi wa Sharon wawasili Nairobi kusikiza uamuzi
WAKAZI wa kaunti za Migori na Homa Bay wanatazamia kwa hamu hukumu itakayotolewa leo, dhidi ya aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na washirika wake wawili waliopatikana na hatia ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno. Obado, aliyekuwa msaidizi wake Michael Oyamo na aliyekuwa karani wa kaunti hiyo Caspal Obiero, walipatikana na hatia Julai 23, 2026, baada ya kesi iliyodumu kwa miaka minane. Katika Kaunti ya Migori, ambako watatu hao walikuwa na ushawishi mkubwa, wakazi wana maoni tofauti kuhusu adhabu wanayostahili. Baadhi wanataka hukumu kali huku wengine wakitaka mahakama iwaonee huruma. Hali ni hiyo hiyo Homa Bay, nyumbani kwa Sharon, ambako wazazi na jamaa zake wanasubiri haki itendeke kwa binti yao. Wazazi wa Sharon wamewasili Nairobi kuhudhuria kikao cha hukumu hiyo. Baba yake, Douglas Otieno, alisema familia itakubali uamuzi wowote wa mahakama. “Tulianza safari usiku na kufika asubuhi ili tuweze kufika mahakamani kwa wakati. Kesi hii imedumu miaka minane, ambayo imekuwa mateso kwangu,” alisema. Mama yake Sharon, Melida Auma, aliomba mahakama Septemba 16 impatie Obado adhabu isiyohusisha kifungo gerezani. Alisema familia imemsamehe na haitaki ahukumiwe kifo au kifungo cha maisha. Alisema Sharon aliacha watoto watatu na kumtaka Obado kutimiza ahadi zake za kuwasaidia kupata makazi na mahitaji. Hata hivyo, wazazi hao walitaka Oyamo na Obiero waadhibiwe kwa mujibu wa sheria. Katika hukumu yake, Jaji Cecilia Githua alisema Obado alitoa sababu na fedha zilizowezesha mauaji hayo, Oyamo alisaidia kutekeleza mpango huo huku Obiero akitoa usaidizi wa vifaa na kuficha uhalifu. Obado aliomba msamaha akitaja umri, afya na kuwa hajawahi kupatikana na hatia awali. Hata hivyo, upande wa mashtaka ulipinga familia kuamua adhabu, ukisema uzito wa kosa lazima uzingatiwe. Sharon, aliyekuwa na umri wa miaka 26 na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, alitekwa Septemba 3, 2018. Mwili wake ulipatikana siku iliyofuata katika msitu wa Kodera, Homa Bay. Alikuwa na ujauzit