Video
ELON MUSK -"NAJUTA KUTUMIA FEDHA NYINGI KUSAIDIA CHAMA CHA TRUMP HALAFU KIKASHINDWA VIBAYA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
ELON MUSK -"NAJUTA KUTUMIA FEDHA NYINGI KUSAIDIA CHAMA CHA TRUMP HALAFU KIKASHINDWA VIBAYA Bilionea wa Marekani na Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, ameeleza wazi kujutia uamuzi wake wa kutumia mamilioni ya dola kufadhili kampeni za chama cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump, baada ya chama hicho kupoteza udhibiti wa mabunge yote mawili ya Congress. Katika mahojiano kwenye mkutano wa DealBook Summit, Musk amejitenga pia na vuguvugu la kisiasa la 'MAGA' na kufafanua msimamo wake kuhusu matumizi ya fedha kwenye siasa za Marekani. Tazama uchambuzi kamili hapa Global TV Online kufahamu kauli nzima ya Elon Musk na athari za kisiasa kwa Donald Trump. #ElonMusk #DonaldTrump #SiasaZaKimataifa #GlobalTVOnline #HabariZaDunia ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
InternationalFormer US national security adviser confronted by students on Gaza
Former US National Security Adviser Jake Sullivan was confronted by student protesters during a speaking event at MIT.
InternationalSwimming lessons offer Gaza’s children a moment of relief
Palestinian children gathered along Gaza’s coast for swimming lessons, finding relief from the psychological toll of war
InternationalUkraine strikes Kerch Bridge as Putin ally declares ‘no one needs Europe’
Russia-Europe tensions rise as Ukraine uses its own weapons and communications tech to hit the Kerch Bridge.
InternationalCall for EAC bloc to enhance its defence strategies against cross-border threats
KAMPALA: EAST African Community (EAC) member states have been urged to review and strengthen their defence strategies to address emerging security threats, particularly those that transcend national borders. The call was made during a meeting of the EAC Consultative Committee on Defence Cooperation held in Kampala, Uganda, on November 19, 2026, where participants stressed the…