Video
BABU TALE "MIMI NINA USERA NA UHUNI KIDOGO" - AJILIPUA MBELE YA MCHENGERWA "SIWEZI ACHA KUJITAMBA"
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
BABU TALE "MIMI NINA USERA NA UHUNI KIDOGO" - AJILIPUA MBELE YA MCHENGERWA "SIWEZI ACHA KUJITAMBA" Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale (Babu Tale), amezungumza mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, kuhusu huduma za afya na utoaji wa dawa kwa wananchi katika Kituo cha Afya cha Ngerengere. Babu Tale ameeleza gharama alizotumia kwa ajili ya wananchi kupata matibabu na dawa, akishirikiana na Bohari ya Dawa (MSD), huku akisisitiza wajibu wake wa kuwatumikia wananchi wake bila kuficha jitihada zake. #BabuTale #Mchengerwa #GlobalTVOnline #Morogoro #TAMISEMI ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
General‘I won’t disappoint you in my second term’ – Adeleke assures Osun people
“I won't disappoint Osun people. I will deliver even more than my first term. I am hopeful our financial situation will soon improve with the expected resolution of the local government crisis. We will take good care of workers and all segments of the society," the governor was quoted as saying.
GeneralUNICEF, Lagos raise alarm over threats to children’s rights
…As children demand free education, protection, greater say in policies By Chioma Obinna The United Nations Children’s Fund (UNICEF) and the Lagos State Government have called for stronger protection of children’s rights, warning that their welfare and fundamental rights are increasingly under threat and require concrete government action. The call was made on Friday during […]
GeneralOoni urges FG to revive, protect textile industry
…Calls for prioritisation of Nigerian fabrics, investment in local production By Shina Abubakar, Osogbo The Ooni of Ife, Oba Adeyeye Ogunwusi, has called on the Federal Government to revive and protect Nigeria’s textile industry as part of efforts to strengthen the nation’s economic growth and development. The monarch also urged textile unions to deploy all […]
General