Video
BABU TALE AMWAGA MACHOZI MAMA HUYU! - AMKABIDHI BAISKELI MTOTO MWENYE ULEMAVU - MTOTO AONGEA MAZITO
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
BABU TALE AMWAGA MACHOZI MAMA HUYU! - AMKABIDHI BAISKELI MTOTO MWENYE ULEMAVU - MTOTO AONGEA MAZITO Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Babu Tale, amegusa hisia za wengi baada ya kumkabidhi baiskeli ya magurudumu matatu (wheelchair) mtoto mwenye ulemavu wa miguu, Haid Sajideli, ambaye alikuwa akibebwa mgongoni na mama yake kila siku kwenda shuleni. Mama wa mtoto huyo ameshindwa kuzuia machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Babu Tale kwa msaada huo unaomwezesha mtoto huyo kuendelea na masomo yake bila vikwazo. Tazama tukio zima na usikie maneno ya mtoto Haid akieleza changamoto alizopitia. #BabuTale #MamaSamia #MatukioYaKijamii #GlobalTVOnline #HabariTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
General
General"MKE WANGU ESMA AMENIZIDI UMRI, HAKUNIKUTA MASIKINI, NAJIWEZA" - JEMBE (MUME WA ESMA)
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍…
GeneralBoT to regulate microfinance providers in Zanzibar
The Bank of Tanzania (BoT) has assumed responsibility for licensing and supervising non-deposit-taking microfinance service providers in Zanzibar, requiring existing operators to apply for licences by December 31, 2026.
GeneralPROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO
PROF SHEMDOE: WATUMISHI WA UMMMA NI NGUZO YA MAENDELEO #globaltv #breaking