The ANC has turned down an offer by ActionSA to seat its regional chairperson, Loyiso Masuku, as a PR councillor in the City of Johannesburg as coalition discussions continue.
Read the full article
The ANC has turned down an offer by ActionSA to seat its regional chairperson, Loyiso Masuku, as a PR councillor in the City of Johannesburg as coalition discussions continue.
Read the full article
This story was originally published by The Mail Guardian.
Read the full story at The Mail Guardian
NewsPresident William Ruto defended the 2024 Finance Bill, blaming fake news for Gen Z protests that left 62 dead and forced him to withdraw the bill amid scrutiny.
NewsWATU wawili wamefariki huku wengine wawili wakijeruhiwa vibaya kufuatia mlipuko unaoshukiwa kusababishwa na gesi ya kupikia katika mkahawa karibu na Lango la 8 la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA), Mombasa. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Mombasa, Bi Stella Cherono, alithibitisha mkasa huo wa asubuhi na kusema kuwa uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo halisi cha mlipuko huo. “Majira ya saa nne na dakika 50 asubuhi, tukio lilitokea katika eneo la Bandari ya Kilindini, Docks. Kibanda cha chakula kilishika moto, na tunashuku huenda chanzo kilikuwa kuvuja kwa gesi kutoka kwenye mtungi, hali iliyosababisha moto huo. Kwa bahati mbaya, watu wawili walifariki katika tukio hilo huku wengine wawili wakikimbizwa hospitalini,” alisema Bi Cherono. Kwa mujibu wa kamanda huyo wa polisi, magari ya kuzima moto kutoka KPA na Serikali ya Kaunti ya Mombasa yalifika eneo la tukio kwa haraka na kufanikiwa kudhibiti moto huo, hivyo kuhakikisha maeneo mengine ya bandari hayakuathirika. “Uchunguzi unaendelea ili kubaini kwa kina kilichotokea. Waliofariki ni wanawake wawili waliokuwa wakifanya kazi katika vibanda hivyo vya chakula, huku waliojeruhiwa wakiwa mmiliki wa kibanda na mfanyakazi mwingine,” aliongeza Bi Cherono. Aliwahakikishia wananchi kuwa wachunguzi watafanya kila juhudi kubaini chanzo cha mkasa huo, akisema kuwa uchunguzi utahusisha pia kumtafuta mfanyabiashara aliyemuuzia mhusika mtungi wa gesi. Mfanyabiashara, Bw Davis Mwalimu Mwangeka, ambaye mkewe Edith Mwangeka anaendesha mkahawa huo, alisimulia alivyopokea taarifa kuhusu mkasa huo. “Nilikuwa katika hospitali moja ya kibinafsi nikisimamia uchunguzi wa maiti ya mpwa wangu nilipopokea simu ya dharura kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa mke wangu, akiniomba niende haraka kwenye mkahawa kutokana na moto uliokuwa umetokea. Kwa nyuma, nilikuwa nikimsikia mke wangu akilia,” alisema Bw Mwangeka. “Niliharakisha kufika eneo la tukio na kumkuta akiwa katika hali ya mshtuko mkubwa. Baadaye alikimbizwa katika Hospitali Kuu ya
NewsBy Ugochukwu Alaribe UMUAHIA — The Abia State Police Command has arrested a woman, identified as Ettoh Barkerk, for allegedly assaulting a police inspector and tearing his uniform during an operation in Aba. The suspect was arrested after police officers from the Ndiegoro Division responded to a distress call reporting that hoodlums were attacking members […]
NewsADDIS ABABA: HEALTH Minister Mohammed Mchengerwa has said Tanzania is proud of the progress made in improving maternal and child healthcare under the leadership of the President of the United Republic of Tanzania, reaffirming the government’s commitment to further strengthening the sector. Mchengerwa made the remarks during the opening of the Fifth Conference on Public…