VideoUpcoming
AJIFANYA KICHAA KUMBE MWIZI WA MITA ZA MAJI! WANANCHI WAMNASA....
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
AJIFANYA KICHAA KUMBE MWIZI WA MITA ZA MAJI! WANANCHI WAMNASA.... Jeshi la Polisi kwa ushirikiano na uongozi wa Mtaa wa Kashabo, Kata ya Mgembe Manispaa ya Bukoba, limefanikiwa kumkamata kijana mmoja anayetuhumiwa kwa wizi wa mita za maji pamoja na kukata nyaya za umeme. Mtuhumiwa alikuwa akitumia mbinu ya kujifanya kama mtu mwenye matatizo ya akili (kichaa) au mlevi mchana, huku usiku aking'oa mita za maji na kuacha wananchi kwenye mateso makubwa ya kukosa huduma hiyo muhimu. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUASA) imeeleza kuwa zaidi ya mita 150 zimeibwa tangu kuanza kwa mwaka huu na kutoa wito kwa wananchi kujengea chemba mita zao ili kudhibiti wimbi hili la uhalifu. #Bukoba #WiziWaMita #GlobalTVOnline #HabariMpya #BUASA #MatukioYaUhalifu ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralMike Birir: Kenyan man dies in Qatar 4 days after visiting family in Keiyo South
A Kenyan man named Mike Birir has died in Qatar, just four days after returning from a family visit to Keiyo South, leaving loved ones devastated.
GeneralMotorpark takeover: Makinde directs security agencies to be vigilant
The government said it will not tolerate violence, intimidation, self-help or unlawful takeover of public facilities by any individual or group.
GeneralHATA TUKICHUKIANA AU KUPIGANA
HATA TUKICHUKIANA AU KUPIGANA #breaking #globaltv #raissamia #tanzania
GeneralKITENDAWILI! DARAJA LA MAMILIONI LAANZA KUBOMOKA KABLA YA KUTUMIKA
#HABARI: Ujenzi wa daraja jipya lililojengwa kwa kutumia makontena katika Mto Kalembo, Kijiji cha Ibungu wilayani Ileje mkoani Songwe, upo hatarini kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha…