Na WINNIE ATIENO WADAU wa sekta ya Utalii eneo la Pwani wameitaka serikali ya kitaifa ikabiliane na changamoto za ugaidi ili kuilinda na athari zake. “Habari yoyote mbaya hasa inayohusu mauaji si njema kwa sekta ya utalii. Lamu ni kaunti kubwa sana ambapo mtu mgeni hawezi kuelewa ukisema Lamu kisiwani au kwingineko. Hakujawahi kutokea shambulio […]