Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI wa sekta ya Utalii wamemlilia Waziri wa Utalii, Bw Najib Balala (pichani) kuwaokoa kutoka kwa sera zinazowakandamiza na kuathiri utalii. Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Muungano wa Utalii eneo la Pwani, Bw Victor Shitakha, walisema watalii wa kimataifa wanaendelea kuahirisha safari zao nchini kufuatia agizo la serikali la kutokubali wageni ambao hawajachanjwa, […]