Na SINDA MATIKO Serikali kutoza watalii Sh20 kupanda miti Kila mtalii anayeingia nchini sasa atatozwa Sh20 na serikali kupanda miti Kenya. Mkakati huo umefichuliwa na Waziri wa Utalii Dkt Alfred Mutua alipokuwa akikizungumza kwenye mkeka ulioandaliwa na balozi wa Australia nchini Bi Jenny Da Rin kutangaza ujio wa kampuni kubwa ya utalii kutoka Australia Intrepid. […]