NA KALUME KAZUNGU KWA waja, mfupa, uwe ni wa wanyama wa kufugwa au wale wa mwituni, huwa ni kitu cha kawaida kuonekana. Katika mji wa Shela kisiwani Lamu aidha, kuna mfupa wa aina yake ambao miaka ya hivi karibuni umegeuka kuwa kivutio cha watalii na wageni. Kila anayetembelea mji wa Shela, iwe ni mtalii au mgeni […]