Na WINNIE ATIENO MAAFISA wa usalama katika Kaunti ya Mombasa wamepiga marufuku uogoeleaji katika Bahari Hindi kutokana na kimbunga cha Hidaya. Wakazi na hata watalii wanaopania kujivinjari kwenye fuo za Bahari Hindi wametakiwa kusitisha mipango hiyo. Hii ni baada ya serikali kutoa tahadhari kuhusu kumbuga hicho kinachotarajiwa kuvuma katika Bahari Hindi, Pwani ya Kenya. “Bahari […]