NA WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii eneo la Pwani, wameisihi serikali kutatua mgomo wa marubani ambao wamedai umelemaza biashara zao. Walieleza kuwa, watalii wengi wameshindwa kuzuru eneo la Pwani kwa mapumziko kufuatia ukosefu wa usafiri baada ya marubani wa kampuni ya Kenya Airways kususia kazi. Wamemtaka Rais William Ruto kutatua migogoro katika shirika […]