Na RICHARD MUNGUTI BAADA ya kukwepa mtego wa polisi walipofumaniwa wakiwa mafichoni katika hoteli ya Weston inayomilikiwa na Naibu wa Rais William Ruto, mama na bintiye hatimaye walijisalimisha kwa korti jana kujibu mashtaka. Bi Mary Wambui Mungai na bintiye Purity Njoki Mungai ni wakurugenzi wa kampuni ya Purma Holdings Limited inayowindwa na Mamlaka ya Ushuru […]