NA JURGEN NAMBEKA IDADI kubwa ya Wakenya wanaohudumu katika hoteli ya kifahari ya Hilton katikati mwa jiji la Nairobi watapoteza kazi kufikia Desemba. Hii ni baada ya kutangaza kuwa itafungwa kwa muda usiojulikana kwa sababu ya matatizo ya kifedha, yaliyotokana na kupungua kwa watalii wa kigeni baada ya janga la Covid-19. “Kufuatia mazungumzo na wadau […]