BOMBOLULU, MOMBASA Na JANET KAVUNGA UJANJA wa jombi wa hapa wa kutolipia mlo aliotafuna hotelini nusura umtumbukize pabaya wahudumu walipomkabili wakitaka kumvua nguo. Duru zinasema kuwa jamaa aliingia hoteli moja ya hapa akaagiza mlo na chai moto. Yasemekana kwamba baada ya jamaa kushambulia mlo, alitaka kuondoka kabla ya kulipa deni lakini mhudumu mmoja akamtaka alipe […]