NA VALENTINE OBARA WADAU wa utalii katika eneo la Pwani, watalazimika kujitahidi zaidi katika juhudi za kufahamisha ulimwengu kuhusu aina tofauti za vivutio vya eneo hilo. Hii ni baada ya kubainika kuwa, idadi kubwa ya watalii wanaozuru ukanda huo huvutiwa tu na fuo za bahari licha ya kuwepo vivutio vingine vingi vya aina mbalimbali.Ripoti ya […]