Na STEVE ITELA MNAMO Julai 15, 2021 mwanamazingira Joannah Stutchbury aliuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake katika kile kinachoonekana kuwa mauaji. Joannah Stutchbury alikuwa mtetezi mkuu wa mazingira na mhifadhi, ambaye alifahamika mno kwa juhudi zake za kuyalinda mazingira. Alikuwa mkazi wa Kaunti ya Kiambu, akiishi karibu na hifadhi ya Msitu ya Kiambu. […]