NA STANLEY NGOTHO SERIKALI kuu itajenga vyoo vya kisasa na sehemu za kupumzika katika mbuga ya wanyamapori ya Amboseli ili kukuza utalii katika kaunti ya Kajiado, asema Waziri wa Utalii na Wanyamapori, Dkt Alfred Mutua. Akizungumza katika Hifadhi ya Kitaifa ya Amboseli, Kaunti ya Kajiado Kusini, wakati wa gwaride la kufuzu kwa Walinzi wa wanyamapori […]