NA STEPHEN MUNYIRI HOTELI tano za hadhi mjini Karatina, Kaunti ya Nyeri, zilifungwa Jumatano baada ya Rais William Ruto kuzuru kaunti hiyo na kusema serikali haitalegeza kamba katika kupambana na pombe haramu. Wakati ambapo operesheni dhidi ya pombe haramu na mihadarati imekuwa ikiendelea, hoteli hizo zilisazwa. Wamiliki wao sasa wanalalamika kuwa kufungwa kwao kutaathiri shughuli […]