NA NICHOLAS CHERUIYOT NAROK MJINI POLO wa hapa alifanya uamuzi wa haraka kuepuka hasara kwa kuwapeleka vipusa wanne walioandamana na demu wake kibandani badala ya hoteli aliyopanga kujivinjari na mpenzi wake. Kulingana na duru, polo alimpigia simu demu wake akimtaka wakutane hoteli ya kifahari wafurahie mlo lakini akaduwaa alipofika na wasichana wengine wanne. “Twende tuwainue […]