CECE SIAGO NA WACHIRA MWANGI HOTELI nyingi katika eneo la Pwani zimehifadhiwa kikamilifu huku watalii wakimiminika katika eneo hilo kwa ajili ya likizo ndefu ya Pasaka inayoanza Ijumaa. Uhifadhi wa hoteli umeimarishwa na watalii wa ndani huku sekta hiyo inapojaribu kuinuka kutokana na janga la Covid-19. Ni Pasaka ya kwanza kuadhimishwa bila kanuni za Covid-19 […]