NA SINDA MATIKO MIEZI mitatu baadaye, rapa Nazizi kwa mara ya kwanza amefunguka mazingira yaliyopelekea mwanawe kufariki huku akikana taarifa zilizosambaa. “Kuna bloga alianzisha uvumi kuhusu ajali ile pasi na kuthibitisha taarifa zile kutoka kwetu. Bloga huyo alidai kuwa mume wangu alikuwa bize kwenye simu ajali ilipotokea. Sio kweli. Ukweli ni kuwa hoteli tulimokuwa ilikuwa […]