NA PETER CHANGTOEK NAOMI Ogutu alipoabiri ndege pamoja na wanawe mwaka 2012, alijipa matumaini kwamba, ifikapo mwaka wa kumi akiishi nchini Amerika, angekuwa mwajiri. Ndoto yake ilitimia baada ya muda aliokuwa ameahidi kutimiza ndoto hiyo. Kwa sasa, Naomi anaimiliki kampuni ya kutoa huduma za utalii, ambapo anadokeza kuwa ana wahudumu 1,099, na anaishi ndoto anayoitaja […]