NA CHRIS ADUNGO UALIMU ni zaidi ya kazi! Kigezo cha kupimia upevu wa mwalimu ni upana wa uelewa wake wa masuala yanayohusiana na mtaala. Thamani ya mwalimu huchangiwa na wanafunzi wake. Ukubwa wa thamani hiyo hushinda wingi wa pesa, sifa na vitu vyote vingine vya msimu. Hifadhi ya jina zuri katika fikra za wanafunzi ndiyo […]