NA CHRIS ADUNGO SIRI ya kuchochea wanafunzi kuchangamkia masomo ni kuwasikiliza, kuelewa changamoto zinazowakibili na kuwaelekeza ipasavyo hatua kwa hatua. Shughuli za ujifunzaji na ufundishaji zitakuwa rahisi iwapo mwalimu atatumia mbinu zitakazompa jukwaa la kushirikiana vyema na wanafunzi kutalii mazingira mbalimbali ya jamii inayowazunguka, kukuza viwango vya ubunifu na kuamsha ari ya kuthamini utangamano. Zaidi […]