NA SIAGO CECE POLISI katika eneo la Diani, Kaunti ya Kwale wanachunguza kifo cha mtalii kutoka Ethiopia ambaye alijitia kitanzi katika hoteli moja baada ya kukosana na mpenzi wake. Kufikia Juni 28, 2023, Kieger Marion na Ephraim Tafere Gebru walipanga kuondoka Diani Place, hoteli ya kifahari iliyo karibu na fuo za Diani. Marion, ambaye ni […]