NA WINNIE ATIENO MSAKO mkali umeanzishwa dhidi ya genge moja la vijana linaloendelea kuhangaisha wakazi wa Mombasa hasa katika kivutio cha utalii cha Old Town. Jumatano, vijana hao waliojihami na silaha butu walinaswa na camera ya CCTV wakivamia wakazi na kuwaaibia mali ya thamani. Hata hivyo, Ijumaa maafisa wa polisi walikamata baadhi yao na wanatarajiwa […]