NA RICHARD MUNGUTI MPISHI aliyekula na kunywa Siku ya Wapumbavu Duniani (Aprili 1, 2022) katika hoteli moja ya kifahari na kushindwa kulipa bili ya Sh6,850 ameshtakiwa. James Simiyu Wafula alikiri kwamba alikula na kunywa bila pesa za kugharimia starehe zake. Simiyu alichangamkia chakula katika hoteli ya Park Inn Radison Blu iliyoko katika mtaa wa Westlands, […]