Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa msururu wa mahoteli ya Nyamama yaliyoko kaunti ya Nairobi jana aliagizwa akamatwe na kushtakiwa kwa ulaghai wa benki Sh520milioni. Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) iliagizwa Jumatano imtie nguvuni Bi Nina Jayesh Shanghavi na kumfikisha mahakamani Desemba 14, 2021 kujibu shtaka la kuilagahi Victoria Commercial Bank Limited kati ya 2018 […]