NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Gengetone, Peter Mwangi almaarufu ‘Miracle Baby’ amefichua nia yake ya kuwa mhubiri pindi tu atakaporuhusiwa kuondoka hospitalini. Msanii huyo amekuwa akiugua kwa muda mrefu, hali iliyolazimu madaktari kumfanyia upasuaji mara tatu kurekebisha tatizo la utumbo. Katika video mojawapo akiwa na mamake, na ambayo ameipakia mtandaoni, Miracle Baby amesema zingatio lake ni […]
Miracle Baby wa muziki wa kidunia aapa kumtumikia Mungu
Taifa Leo 1 min read

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
EntertainmentKichanga chakutwa kwenye mfuko wa takataka Arusha
Wasafi Media Video
EntertainmentEXCLUSIVE NDANI YA WASAFI FM 20/11/2026.
🔴#LIVE : EXCLUSIVE NDANI YA WASAFI FM 20/11/2026.
Wasafi Media Video
Entertainment
EntertainmentSakata la Marioo na Ibraah: Sky alichambua kwa kina! Nani ni mweli? Diamond na Zuchu watasamehe?
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
Simulizi Na Sauti Video