NA SINDA MATIKO HIVI unamkumbuka Mayonde? Yule mrembo aliyetuangishia fataki nzito ‘Nairobi’ yapata miaka mitatu iliyopita. Baada ya kuja kwa nguvu za soda na kufanya vizuri kwa muda kwenye chati za muziki hapa nyumbani, Mayonde aliingia gizani. Sasa mrembo huyo ambaye anajipanga kurudi tena kwenye gemu, anakiri kuchoshwa na muziki baada ya kuona hakuwa akitengeneza faida […]
Mayonde adai kushindwa kuingiza pesa kimuziki ndio sababu ya ukimya wake
Taifa Leo 1 min read
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
EntertainmentKichanga chakutwa kwenye mfuko wa takataka Arusha
Wasafi Media Video
EntertainmentEXCLUSIVE NDANI YA WASAFI FM 20/11/2026.
🔴#LIVE : EXCLUSIVE NDANI YA WASAFI FM 20/11/2026.
Wasafi Media Video
Entertainment
EntertainmentSakata la Marioo na Ibraah: Sky alichambua kwa kina! Nani ni mweli? Diamond na Zuchu watasamehe?
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
Simulizi Na Sauti Video