NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu wakati mmoja ulikuwa umevamiwa na maskwota wa ndani kwa ndani. Jamii inayoishi humo ikiwa ni wafugaji wa kuhamahama, walikuwa wameunda manyatta – makazi maalum, miti ikaangushwa, baadhi wakiingilia shughuli ya uchomaji makaa na kilimo. Maliasili iliharibiwa, msitu uliokuwa chanzo cha chemichemi za maji na mvuto wa mvua […]