NA FATUMA BUGU WAKAZI wengi wa Mombasa wanaopenda mapochocho ya Pwani tayari wameanza kutafuta sehemu mbadala kukimu mahitaji yao ya kiamsha kinywa na chakula cha mchana huku Waislamu wakiendelea na mfungo. Mikahawa mbalimbali jijini Mombasa imefungwa huku wengi wakiweka matangazo ya kufunga biashara mwezi huu wa Ramadhani na wengine wakifungua baada ya futari. Hoteli nyingi […]