NA WINNIE ATIENO KAMPUNI ya Kenya Pipeline (KPC) kwa ushirikiano na Huduma za Misitu Nchini (KFS) imetia saini mkataba wa maelewano kuhifadhi misitu ya umma na ulinzi wa mabomba ya mafuta kwenye maeneo ya hifadhi za misitu. Akizungumza wakati wa upanzi wa mikoko eneo la Jomvu, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kenya Pipeline, Bw Joe […]